Jumapili, 5 Juni 2016

MAISHA YA MKRISTO YOYOTE YANAONGOZWA NA KAULI YA NABII


Somo la Jumapili:

MAISHA YA MKRISTO YOYOTE YANAONGOZWA NA KAULI YA NABII

- Kwanza kabisa lazima nijue Nabii ni mtu wa namna gani, Nabii ni mtumishi wa Mungu aliye pewa
Karama ya kutoa mwanga katika maisha ya mkristo ili Mkristo yule ajue ipi iliyo njia sahihi.
Luka 4:16-

- Luka 4:16 na kuendelea ina nipa picha halisi Kwamba maisha ya Yesu Kristo yaliongozwa na kauli ya Nabii Isaya.

- Mimi Kama mkristo nikijua maisha yangu yanaongozwa na kauli itakayo katika kinywa cha Nabii nitakuwa makini sana kutokujikwaa katika mafuta ya Nabii anaye niongoza.
 2 Wafalme 5:25 na kuendelea.

- Ninapo jikwaa katika mafuta ya Nabii yoyote Yule kuna hatari ya kupata laana Mimi pamoja na uzao wangu, jambo hili limedhibitishwa na  2 Wafalme 5: 27

- Ninapo kuwa kinyume na anacho kisema Nabii maana yake ninakuwa kinyume na Roho Mtakatifu ( ninakuwa nimemkufuru Roho Mtakatifu ).
Marko 3:21, Marko 3: 28-30

-

Hakuna maoni: