....
Visit Us on Facebook
Jumapili, 12 Juni 2016
MAISHA YA MKRISTO YEYOTE YANAONGOZWA NA KAULI YA NABII. Sehemu 2
Somo la Jumapili:
MAISHA YA MKRISTO YEYOTE YANAONGOZWA NA KAULI YA NABII. Sehemu ya 2
- Unabii ni mwongozo, maelekezo, taarifa ya mambo yajayo inayo nipa wepesi au ni jinsi gani ninaweza kujipanga katika kuomba.
2 Wafalme 20:1-5
- Ili maombi yangu yapate kibali mbele za Mungu lazima maombi yangu yaongozwe na kauli ya Nabii juu ya maisha yangu, Kwa sababu kauli ya Nabii ndiyo inayo nipa kibali cha kupokea majibu.
Daniel 9:2
- ( Nabii ni Mtumishi wa Mungu wa pekee mwenye uwezo wa kutuelezea nia ya Mungu juu ya maisha yetu ).
Amosi 3:7
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni