NASUBIRI REHEMA ZA MUNGU
- Wakristo wengi wamekosa hali ya uvumilivu ndio maana wamefarakana na Rehema za Mungu.
- Nikiwa Kama mkristo ninaye mwamini Yesu kristo inatakiwa niutambue Kwa umakini wito Wangu, ndipo Rehema za Mungu zianze kutenda kazi ndani mwangu.
- Kutokutambua wito Wangu ndicho kinacho nifanya nidumu nje na mapenzi ya Mungu, ingawa wakati huo huo ninaomba.
- Ebu tutazame kitu ambacho Mungu anakizungumza kupitia maandiko matakatifu katika kitabu cha Maombolezo 3:31-33
- Katika mstari wa 32 ni dhahiri moyo wa Mungu uko wazi na uko tayari kutoa msaada Kwa wanao mwamini, ndio maana akasema moyo wake hapendi kumuhuzunisha mwanadamu anaye mwamini.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni