JIHADHARI NA UPOFU WA KIROHO. Sehemu ya 3
- Roho ya Imani maana yake ni Roho ya nguvu za Mungu
- Roho ya Imani ndo tendo la Imani
- Kama sina Roho ya Imani maana yake sintakuwa na uwezo wa kulitafakari Neno la Mungu.
ANGALIZO No.1
Kama sina Roho ya Imani ndani mwangu uwezo wa kushinda vita vya rohoni ni mdogo Kwa sababu vita vya kwenye ulimwengu wa Roho vinahitaji kina cha Imani ya Neno la Mungu.
- Jukumu langu mimi ni kujiongeza kiimani, kwa sababu mabadiliko katika maisha ya mtu yanakuja kutokana na jinsi mtu Imani yake inavyoongezeka zaidi.
- Kuna Neno ambalo Yesu Kristo aliwaeleza wanafunzi wake katika (Marko 4:35-40).
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni