13/9/2015 Somo la Tatu
ILI NIWEZE KUWA KATIKA ANGA ZA BARAKA ZA KIMATAIFA NIFANYE NINI?
- Ili niweze kuwa katika mkondo wa baraka za KiMungu haitakiwi niwe mtu wa kujiuliza
ma swali katika utoaji ninao ufanya katika uso wa Mungu.
ma swali katika utoaji ninao ufanya katika uso wa Mungu.
- Jinsi ninavyo toa kwenye uso wa Mungu maana yake ndio mbegu ninavyo ipanda katika maisha yangu, kwa hiyo ni vigumu kubarikiwa kupita kiwango ninacho toa.
- Ninapoipanda mbegu yangu mimi kwa mhitaji maana yake nina ipanda mbegu yangu katika udongo ulio sahihi, ndio maana wakati wa kupanda mbegu inatakiwa nitoe kitu ambacho kitaugusa moyo Wangu vile vile kitaugusa moyo wa Mungu, mambo haya hata Biblia imeyasema. Zaburi ya 126 yote
- Inafahamika wazi hata Kibiblia nyakati za kupanda ni nyakati za mioyo kuumia, ukiona mtu amepanda mbegu yake akabaki na furaha jua bado hajaigusa sehemu ambayo ni sahihi bali amegusa sehemu ambayo ana uwezo nayo, kwa sababu Biblia imesema wazi. Zaburi 126:6,
- (Utajiri bila Yesu ni sawa na maigizo.)
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni