MIMI NINAISHI NA NGUVU ZA MUNGU
- Ninashindwa kujitambua kwamba ninaishi na nguvu za Mungu kwasababu ya udhaifu wa imani
- (Imani yangu ikiishakuwa dhaifu, nivigumu kupata mpenyo katika maono niliyo nayo)
- (Imani ndiyo inayoongoza maisha ya mwanadamu anayeishi katika mwili,kwa kitu anacho kifanya ndio maana unaweza kumsikia mtu ankisema tumuombe Mungu tutafanikiwa hiyo ni imani)
- Hii nguvu ya Munguiliyoko juu ya mtu inazaa malaka ambayo ndiyo inayomsaidia mkristo mwamini kufanikiwa katika maisha yake ya ucha Mungu.
Angalizo
- Nikiisha jitambua ninayo mamlakam ya kimungu inatakiwa niishi maisha sambamba na Neno la Mungu linavyo sema, hapo nitaziona baraka za Mungukatika maisha yangu.
Maoni 2 :
Amen
Ubarikiwe sana kufuatilia masomo ambayo yana ijenga imani yako
Chapisha Maoni