Jumanne, 22 Aprili 2014

Kapernaum Church

 
Neno la Mungu ndio msingi mkuu wa kila mwanadamu anaye mwamini Yesu kristo. Pasipo Neno la Mungu(Biblia) hauwezi kuwa na Imani yenye nguvu ya kuleta mabadiliko katika jambo lolote


Hakuna maoni: